Utahitaji kuweka njia unayopendelea ya kupokea malipo kwenye wasifu wako wa Airbnb. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka njia ya kupokea malipo.
Siku moja baada ya kuwa mwenyeji wa tukio, Airbnb itatoa malipo yako kwa ajili yake. Tarehe ambayo utapata fedha itategemea taasisi yako ya kifedha na ikiwa malipo yatatolewa wikendi au likizo ya benki.